Dar es Salaam, Tanzania

Sauti Ya Quran FM

“MUONGOZO KWA JAMII”

On air · live now

FM 102.1 Islamic Talk Swahili 0 plays 0 saves Ad before stream
Website

About Sauti Ya Quran FM

Sauti Ya Quran Fm Radio ilisajiliwa rasmi chini ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) mwaka 2000, na inamilikiwa na Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA).Radio yetu ipo kwenye makutano ya Barabara ya Lindi na Shaurimoyo, Kata ya Gerezani Kariakoo, Wilaya ya Ilala, Dar es Salaam (Jengo la Al-Haramain Islamic College).Eneo ambalo Radio yetu inafika ni katika Mkoa wa Dar es Salaam, mkoa wa Pwani, mkoa wa Tanga, Mkoa wa Lindi, mkoa wa Morogoro, na Zanzibar.

Questions

What frequency is Sauti Ya Quran FM on?
Sauti Ya Quran FM broadcasts on FM 102.1 MHz in Dar es Salaam, Tanzania.
Where is Sauti Ya Quran FM based?
Sauti Ya Quran FM is based in Dar es Salaam, Tanzania.
What kind of station is Sauti Ya Quran FM?
Sauti Ya Quran FM plays Islamic Talk, broadcasting in Swahili. Its slogan is “MUONGOZO KWA JAMII”.
How can I listen to Sauti Ya Quran FM live?
Press play on Sauti Ya Quran FM's page at myradio.world to listen live in any web browser - free, with no app or account needed.
How do I contact Sauti Ya Quran FM?
You can reach Sauti Ya Quran FM by email at [email protected], on X as @wehavent and through its website, https://www.sautiyaquranfm.co.tz.
What other radio stations are there in Dar es Salaam?
Other stations in Dar es Salaam include Bethel Radio (FM 102.0), Bongo FM, Boresha Radio, Clouds FM 88.5 and Crown FM 92.1.

Listeners say

0 comments

No comments yet

Be the first to say something about this station.